Nakuomba Unigangue

 

 

Wakati mwingine

Huzuni huniandama

Na kufunga minyororo moyoni

Na sijui kwanini

 

Ingawaje niko kati ya watu

Nahisi upweke nisioelewa

 

Nakuomba, unigangue, upweke 

 

Moyoni nalia machozi

Na sijui kwanini

Wala sielewi

Ni nani ninayemililia

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s