Maswali ya Mungu

I love Kiswahili. It is a very beautiful poetic language and I find it very natural to write songs in it. This is a poem I wrote not long ago. The reason for not publishing has been…who will read it? Most of my followers will not understand. But that is just an excuse. Right? When I get time, I will try translate. Enjoy for now!

 

Ee Mungu,

Nina masweli mengi sana

 

Je wewe ulikuwa ukiwaza nini ulipoumba dunia?

Kila kitu ni kizuri na cha kutamanika kwako

Kila kitu kina maana kwako

 

Sote ulituumba sawa

Toka ndege was angani, mpaka nyota kwenye bingu

Mpaka wadudu tusiowaona

Na milima na mito na vitu tu ambavyo tunaweza kuzihisi

 

Mbona ukaniumba?

Ukanipa uhai?

Na haya maisha yaliyojaa

Baraka na machungu

Na mapenzi na wivu

Na amani na vita

Kila kitu cha wema

Na kila kitu cha ushetani

 

Kila kitu ni kizuri?

 

Mbona haya maswali haunijibu?

Na nikitizama kwa ukweli wa roho yangu,

Maumbile  yote ni matakatifu kwako na kila kitu ni kizuri kwako.

 

Sielewi.

 

Kila kitu ni kizuri kwako,

Hata kile cha ushetani?

Aje?

 

Naelewa mashida yanafaa kutufunza jinsi ya kuishi,

Lakini mbona ulituumba?

Mbona ukanipa haya maisha?

Je unataka niyafanyie nini?

 

Tafadhali niambie

Naomba!

Arrgh!

MBONA HUNIAMBII?!

KWANINI HUNIJIBU?

NIJIBU!

NIJIBU!

NIJIBU!

NIAMBIE!!!

(Kimya kizito)

MBONA HUNIAMBII? SASA UNATAKA NIFANYE NINI?

 

Haya basi

Pengine hayo ndio maisha bora

Kung’ang’ana na maswali.

Advertisements

4 thoughts on “Maswali ya Mungu

    • Hey Sharmishtha. Thanks. The title is Questions for God. I ask him why he gave me life with all the good things and the bad things in it and what he wants me to do with it. Thanks for the idea, now thinking of how I can turn it into a song.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s